Posts

Miili 5 ilipatikana ndani ya boti ya kifahari iliyozama nchini Italia

Image
  Miili 5 ilipatikana ndani ya boti ya kifahari iliyozama nchini Italia CHANZO CHA PICHA, EPA Maelezo ya picha, Yacht ya kifahari ya Bayesian Wafanyakazi wa uokoaji wamepata miili 5 Jumatano ndani ya boti ya kifahari ya Bayesian, ambayo ilizama Jumatatu kwenye pwani ya Sicily, kusini mwa Italia. Boti hiyo ya kifahari yenye urefu wa mita 56 iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Uingereza ilikuwa imebeba watu 22 (abiria 12 na wafanyakazi 10), akiwemo bilionea wa Uingereza na mtendaji mkuu wa benki ya Morgan Stanley. Boti hiyo, Bayesian ilizama katika dhoruba kali mapema Jumatatu asubuhi. Watu 15 waliokuwa ndani yake waliokolewa wakiwa hai na mtu mmoja akapatikana amekufa: mpishi wa boti, Recaldo Thomas. Bado mwili mmoja wa mwisho haujapatikana kati ya jumla ya sita waliopotea katika ajali hiyo. Watu ambao bado hawajapatikana wametajwa kuwa ni: tajiri wa teknolojia wa Uingereza Mike Lynch na binti yake mwenye umri wa miaka 18 Hannah; Mwenyekiti wa Kimataifa wa kampuni ya Morgan Stanley Jo...

DRC: Takriban watu 24 wafa maji baada ya boti yao kupinduka

Image
  DRC: Takriban watu 24 wafa maji baada ya boti yao kupinduka CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Boti zinazobeba abiria kwenye Mito ya Kongo mara nyingi hazitunzwa vizuri na zinajaa kupindukia Takriban watu 24 wamefariki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya mashua iliyokuwa imejaza mizigo kupinduka kwenye mto katika jimbo la Mai-Ndombe nchini Kongo, na idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka huku abiria wengi wakitoweka, afisa mmoja wa eneo hilo alisema Jumatano. Boti iliyobeba takriban abiria 250 hadi 300 ilipinduka Jumapili usiku baada ya kugonga vizingiti chini ya maji, msimamizi wa eneo la Kutu Jacques Nzenza aliliambia shirika la habarila Reuters. Kupakia watu na miziko kupita kiasi ndio chanzo kikuu cha ajali hiyo, alisema. "Kulikuwa na wasi wasi katika boti na watu waliojawa na hofu walienda kwenye sehemu moja kuweka uzito upande mmoja, na kusababisha mashua kupinduka." Kiongozi wa jumuiya ya kiraia katika eneo hilo, Fidele Lizoringo, amesema wat...

Kenya: Maafisa wa jiji la Nairobi wawakamata watu kwa kujisaidia katikati ya jiji

Image
  Kenya: Maafisa wa jiji la Nairobi wawakamata watu kwa kujisaidia katikati ya jiji CHANZO CHA PICHA, PUBLICIS PIXELPARK Wakaazi 30 wa Nairobi wameripotiwa kukamatwa kwa kujisaidia haja ndogona kutupa uchafu katika Wilaya yenye shughuli nyingi kibiashara jijini Nairobi (CBD) kama sehemu ya hatua ya serikali ya kaunti ya Nairobi ya kukabiliana na makosa madogo. Wakiongozwa na afisa mkuu wa Mazingira wa Nairobi Geoffrey Mosiria, timu za watekelezaji sheria za kaunti hiyo zwalishika doria katika mitaa iliyochaguliwa ya CBD ili kuwakamata Wakenya waliokiuka sheria hiyo. Sheria ya Kero ya Umma ya Nairobi 2021 inasema kwamba mtu yeyote atakayepatikana akijisaidia haja ndogo au haja kubwa katika eneo la umma atawajibika kulipa faini ya Ksh.10,000, kifungo cha miezi sita jela au kupewa adhabu zote mbili. Zaidi ya hayo, viongozi wa kaunti hiyo waliwaamuru wafanyabiashara wa barabarani kusafisha lundo lao la takataka na kuzitupa ipasavyo. Wahalifu 30 walikamatwa Jumatatu usiku na kufikishwa ...

Raia wa Nigeria wakasirishwa na ndege mpya ya rais

Image
  Raia wa Nigeria wakasirishwa na ndege mpya ya rais CHANZO CHA PICHA, NIGERIA PRESIDENCY Maelezo ya picha, Rais Tinubu alisafiri hadi Ufaransa kwa ndege hiyo mpya Raia wengi wa Nigeria wameghadhabika baada ya ndege mpya kununuliwa kwa ajili ya Rais Bola Tinubu wakati ambapo uchumi unakumbwa na mzozo mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kizazi. Ndege hiyo imenunuliwa wiki mbili baada ya maelfu ya watu kumiminika barabarani kote nchini kulalamikia njaa inayoongezeka na kupanda kwa gharama ya maisha. Bw Tinubu ambaye alichaguliwa mwaka jana kuongoza nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika, ameanzisha mageuzi kadhaa ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kuondolewa kwa ruzuku ya mafuta, ambayo imechangia mfumuko mkubwa wa bei, ambao kwa sasa ni zaidi ya 30%. Rais Tinubu alisema mageuzi hayo ni muhimu ili kupunguza matumizi ya serikali na kuchochea ukuaji wa muda mrefu. Mnamo Januari, rais wa Nigeria alitangaza kupunguza kwa asilimia 60 ya idadi ya wajumbe rasmi wanaosafiri nje ya nchi usa...

Israel na Gaza: Je, kwanini mpango wa kusitsha mapigano wa Marekani ni mgumu kutekeleza?

Image
  Israel na Gaza: Je, kwanini mpango wa kusitsha mapigano wa Marekani ni mgumu kutekeleza? CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Saa 2 zilizopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken amesema usitishaji vita kati ya Israel na Hamas huko Gaza unaweza kufikiwa ndani ya siku chache baada ya Israel kukubali mpango wake wa amani tarehe 19 Agosti. Makubaliano hayo yatahusisha kukomesha uhasama katika Ukanda wa Gaza na kurejea kwa mateka waliotekwa na Hamas na makundi mengine yenye silaha wakati wa shambulio la Oktoba 2023 dhidi ya Israel. Marekani imekuwa ikijaribu kuandaa "mpango wa maelewano" ili kuondoa vikwazo katika makubaliano kati ya Israel na Hamas. Je, ni mambo gani makuu ya mpango wa amani wa Marekani? Blinken anasukuma mpango wa amani nchini Israel, kulingana na mpango ulioainishwa na Rais wa Marekani Joe Biden mwezi Mei. Mpango huo utatekelezwa kwa awamu tatu. Awamu ya kwanza ni pamoja na "kusitishwa kwa mapigano kwa jumla " kwa wiki sita, kuondolewa kwa...

Vikosi vya Urusi vinakomboa jumuiya ya Zhelannoye katika DPR katika siku iliyopita

Image
 Vikosi vya Urusi vinakomboa jumuiya ya Zhelannoye katika DPR katika siku iliyopita Kundi la Mapigano la Russia la Magharibi lilipata nafasi nzuri zaidi, kuzima mashambulizi sita ya Ukraine na kusababisha takriban vifo 470 kwa wanajeshi wa adui katika eneo lake la uwajibikaji katika siku iliyopita, wizara iliripoti. MOSCOW, Agosti 22. . Kituo cha Mapigano cha Urusi kiliikomboa jumuiya ya Zhelannoye katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk (DPR) katika siku iliyopita katika operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine, Wizara ya Ulinzi ya Urusi iliripoti Jumatano. "Vitengo vya Kituo cha Vita vilikomboa makazi ya Zhelannoye katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk kama matokeo ya shughuli zinazoendelea," wizara ilisema katika taarifa. Kundi la vita la Urusi la Kaskazini limesababisha vifo vya watu 100 kwa jeshi la Ukraine katika Mkoa wa Kharkov Kundi la vita la Urusi la Kaskazini lilisababisha vifo vya takriban 100 kwa wanajeshi wa Ukraine katika eneo lake la uwajibikaji katika Mkoa wa Kharko...

Urusi, Uchina zina mipango mikubwa ya ushirikiano kwa miaka mingi ijayo - Putin

 Urusi, Uchina zina mipango mikubwa ya ushirikiano kwa miaka mingi ijayo - Putin Mkuu huyo wa nchi alibainisha kuwa marejeleo husika yamebainishwa wakati wa mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping mwaka huu MOSCOW, Agosti 22. Urusi na China zimepanga mipango mikubwa ya ushirikiano katika nyanja tofauti kwa miaka mingi ijayo, Rais Vladimir Putin alisema katika mkutano na Waziri Mkuu wa China Li Qiang huko Kremlin. "Nchi zetu zimeandaa mipango mikubwa ya pamoja, miradi katika nyanja za kiuchumi na kibinadamu; [tu]natarajia hilo kwa miaka mingi ijayo," Putin alisema. Mkuu huyo wa nchi aliongeza kuwa marejeleo muhimu yamebainishwa wakati wa mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping mwaka huu.