Majambazi walivyoyateka mashamba ya watu Nigeria

 

Majambazi walivyoyateka mashamba ya watu Nigeria

g

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Taarifa kutoka jimbo la Niger zinasema kuwa majambazi wengi hivi sasa wanaishi katika nyumba za watu wa mji wa Allawa, na wanalima katika mashamba yao na kutumia samadi iliyobaki kwenye nyumba zao.

Imepita miezi mitano tangu majambazi hao wawavamie wakazi wa mji wa Allawa na kuwafukuza katika makazi yao na kuwafanya wakimbizi.

Mkazi wa mji huo ambaye yuko uhamishoni ameiambia BBC kuwa tukio hilo lilitokea baada ya serikali kuondoa vikosi vya usalama vilivyokuwa vikiwalinda kwa sababu serikali ilisema inataka kubadilisha mfumo huo, "lakini wanajeshi bado hawajarudishwa."

“Baadhi yetu tulifanya uamuzi, kwa shinikizo, walijaribu kuangalia jiji linarudi, lakini tukapigwa na mshangao, nyumba zetu zilichukuliwa na kuchukua mbolea tuliyoiacha na kuitumia. Eneo la Allawa, sasa majambazi wanalima katika msitu wa Allawa." Alisema.

Comments

Popular posts from this blog

Hukumu aliyopewa mwanamume aliyembaka na kumuua muathiriwa yazua ghadhabu Ethiopia

Marekani inarudia makosa ya USSR katika Mashariki ya Kati

Putin anaweka wazi kuwa mazungumzo na Kiev sasa hayawezekani - Lavrov